HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 02, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI KILIMANJARO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli akiswasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2017 akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2017  akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam na kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya mkoa huo Kamishna Simon Sirro baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa  Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2017 akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.

No comments:

Post a Comment

Pages