Dande Contanct

KWA MAWASILIANO ZAIDI. E-mail: dande15us@gmail.com.

CRDB

CRDB
.

UTT

UTT
.

NSSF-SHIB

.

.

Pages

SIMBA YAINGIA MKATABA MNONO NA SportPesa, YAIFUNGA STAND UNITED 2-1

Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo, akimtoka beki wa Stand United, Aron Lulambo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya, akiwatoka walinzi wa Stand United.
Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo, akiwania mpira na beki wa Stand United, Ibrahim Job katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la pili la timu hiyo.
Wachezaji wa Stand United wakimzonga mwamuzi wa pambano la Ligi Kuu kati ya timu hiyo na Simba, Imani Mwandembwa kutoka Arusha wakipinga bao la pili la Simba.
Mwamuzi wa pambano la Ligi Kuu kati Simba na Stand United, Imani Mwandembwa akimuonyesha kadi ya njano kipa wa Stand, Frank Mwonge.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, na Ofisa  Mtendaji Mkuu wa SportPesa, Pavel Slavkov, waktambulisha mfano wa jezi mpya baada ya kuingia mkataba wa kuidhamini klabu hiyo katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa SportPesa, Abbas Tarimba. 
Mkurugenzi wa SportPesa, Abbas Tarimba, akionyesha muonekano wa jezi mpya ya Klabu ya Simba baada ya kuingia mkataba na SportPesa. 
Wasanii wakitumbuiza katika hafla ya Klabu ya Simba kuingia mkataba na SportPesa.

No comments:

Post a Comment