Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

SIMBA YARUDI KIMATAIFA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe, akimkabidhi Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (ASFC), nahodha wa Klabu ya Simba, Jonas Mkude, baada ya kuitandika Mbao FC 2-1 katika mchezo wa fainali uliofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. (Picha kwa hisani ya Jaizmelaleo Blog).
Wachezaji wa Simba wakishangilia na Kombe lao baada ya kuifunga Mbao FC 2-1 katika mchezo wa fainali ya ASFC uliofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
 Mohamed Hussein (kushoto), akichuana na mchezaji wa Mbao FC.
 Laudit Mavugo (kushoto), akiwania mpira na mchezaji wa Mbao FC.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia na Kombe lao baaada ya kuifunga Mbao FC 2-1 katika mchezo wa fainali ya Kombe la ASFC. 
Wachezaji wa Simba wakishangilia na Kombe lao baada ya kuifunga Mbao FC 2-1 katika mchezo wa fainali ya ASFC uliofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment