HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 03, 2017

SSRA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI ILIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka (wa pili kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji Bi. Sara Kibonde Msika (wa kwanza kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa SSRA katika banda la Mamlaka hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo Kitaifa yalifanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi  mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakiwa kwenye banda la SSRA wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mkoani Kilimanjaro.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita mbele ya Mgeni Rasmi katika uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), zilizofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita mbele ya jukwaa kuu katika uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), zilizofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro. 
Wafanyakazi wa SSRA wakiwa katika maandamano wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), Mkoani Kilimanjaro. 
Wafanyakazi wa SSRA wakimsikiliza kwa makini mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yalizofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro. 
Wananchi wakiwa katika banda la SSRA wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yalizofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la SSRA wakipata vipeperushi vya Mamlaka hiyo wakati wa Maadhimisho ya  Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yalizofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro
Wadau wakipata maelezo kuhusu Hifadhi ya Jamii kutoka Maofisa wa SSRA wakati wa sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

Pages