HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

May 02, 2017

UTT-AMIS ILIVYOSHIRIKI SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Uwekezaji Tanzania ya UTT- AMIS, wakiwa katika picha ya pamoja katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande). 
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Uwekezaji Tanzania ya UTT- AMIS, wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Uwekezaji Tanzania ya UTT- AMIS, wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Uwekezaji Tanzania ya UTT- AMIS, wakiwa katiika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. 
Wafanyakazi wa Kampuni ya Uwekezaji Tanzania ya UTT- AMIS, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Uwekezaji Tanzania ya UTT- AMIS, wakiandamana katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.  
  Wafanyakazi wa Kampuni ya Uwekezaji Tanzania ya UTT- AMIS, wakiandamana katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.  
 Shamrashamra za Siku ya Wafanyakazi Duniani.
  Wafanyakazi wa Kampuni ya Uwekezaji Tanzania ya UTT- AMIS, wakiandamana katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.  
 Wafanyakazi wakipita mbele ya mgeni rasmi.
 Maandamano yakiendelea.
  Maandamano yakiendelea. 
  Wafanyakazi wa UTT-AMIS wakiwa katika maadhimisho hayo.
 Wafnyakazi wa UTT-AMIS wakipita mbele ya mgeni rasmi.
Shamrashamra zikiendelea. 
 Gari lililokuwa na wafanyakazi wa Kampuni ya Uwekezaji Tanzania ya UTT-AMIS likipita wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Uwanja wa Uhuru.

No comments:

Post a Comment

Pages