HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

May 16, 2017

WATEJA WA BENKI YA CRDB  WAENDELEA KUCHANGAMKIA SimBanking

Benki ya CRDB inaendelea  na Kampeni ya Kuhamasisha Wateja wake waitumie huduma ya SimBanking kupata huduma mbalimbali za kibenki kama vile kuangalia salio katika akaunti, kununua salio (vocha) za mitandao mbalimbali ya simu, kama vodacom, tigo, Airtel pamoja na kununua umeme / LUKU, Kuhamisha pesa toka akaunti moja ya benki ya CRDB kwenda akaunti nyingine. Simbanking inatolewa na benki ya CRDB na kuwezesha wateja wake kupata huduma za kibenki kupitia simu ya mkononi.

Meneja Biashara wa Benki ya CRDB Tawi la Njombe, Nasibu Mwidadi, amesema kumekuwepo na mwitikio chanya toka kwa wateja.

SimBanking inasaidia kuokoa muda mwingi wa wateja kukaa katika foleni katika matawi kwani wanaweza fanya Miamala ya Simbanking wakati wowote na popote walipo.
 Muonekano wa Jengo la Benki ya CRDB Tawi la Njombe.

Ofisa wa Benki ya CRDB tawi la Njombe, Benjamin Banzi, akimuelekeza mteja wa benki hiyo, Sara Danda, kujiunga na Huduma ya SimBanking kupitia ATM mkoani Njombe. 

 Ofisa wa Benki ya CRDB tawi la Njombe, Benjamin Banzi, akimuelekeza mteja wa benki hiyo, Sara Danda, kujiunga na Huduma ya SimBanking kupitia ATM mkoani Njombe.
Ofisa wa Benki ya CRDB, Cassian Nombo, akimuunganisha mteja kwenye huduma ya Simbanking kupitia simu ya kiganjani katika Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma.
  Muonekano wa Jengo la Benki ya CRDB Tawi la Njombe. 
  Ofisa wa Benki ya CRDB tawi la Njombe, Benjamin Banzi, akimuelekeza mteja wa benki hiyo.
 Ofisa wa Benki ya CRDB tawi la Njombe, Benjamin Banzi, akimuelekeza mteja wa benki hiyo, Sara Danda, kujiunga na Huduma ya SimBanking kupitia ATM mkoani Njombe.
 Wateja wakipata huduma ya kuunganishwa na SimBanking.

No comments:

Post a Comment

Pages