Dande Contanct

KWA MAWASILIANO ZAIDI. E-mail: dande15us@gmail.com.

CRDB

CRDB
.

UTT

UTT
.

NSSF-SHIB

.

.

Pages

YANGA YAICHAPA MBEYA CITY 2-1

 Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akiwatoka mabeki wa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-1.  (Picha na Francis Dande).
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la pili.
 Simon Msuva ktolewa nje baada ya kugongana na mchezaji wa Mbeya City.

Beki wa Yanga, Hassan Kessy, akiwatoka mabeki wa timu ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment