Dande Contanct

KWA MAWASILIANO ZAIDI. E-mail: dande15us@gmail.com.

CRDB

CRDB
.

UTT

UTT
.

NSSF-SHIB

.

.

Pages

AZANIA BANK YAFUTURISHA WATEJA NA WADAU WAKE

 Mkurugenzi Mkuu wa Azania Bank, Charles Itembe, akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja na wadau wake. (Picha na Francis Dande). 
 Mkurugenzi Mkuu wa Azania Bank, Charles Itembe, akiwa amembeba mtoto Samia Ndagala wa kituo cha kulelea Yatima cha Huruma Islamic wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja na wadau wake.

Watoto wa Kituo cha Kulelea Yatima cha Huruma Islamic wakati katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Azania bank kwa ajili ya wateja na wadau wake 

 Watoto wakipata futari.
 Wadau wa Azania Bank wakipata futari
 Wadau wa benki hiyo wakiwa katika hafla hiyo.
Mteja akishukuru kwa niaba ya wenzake waliofika katika hafla hiyo. 

No comments:

Post a Comment