Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

BENKI YA CRDB KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA KUFUNGUA AKAINTI ZA WATOTO PAMOJA NA KUTOA ELIMU YA MASUALA YA FEDHA NA UWEKEZAJI


  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumzia maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mtoto wa Afrika jijini Dar es Salaam jana, ambapo Benki ya CRDB itaadhimisha siku hiyo kwa kufungua akaunti za watoto ‘Junior Jumbo Account’ na kutoa elimu ya masuala fedha na uwekezaji. 

No comments:

Post a Comment