Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

BULEMBO AWASILI WILAYANI BIHARAMULO MKOANI KAGERA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akisalimia badhi ya wana CCM walimpokea katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera leo jioni
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimsalimia Mbunge wa Viti maalum. 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na baadhi ya viongozi wa CCM na Jumuia zake waliompokea kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Boharamulo mkoani Kagera leo jioni.

No comments:

Post a Comment