HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 25, 2017

DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR

Mratibu wa Matukio ya Kijamii wa Taasisi ya Doris Mollel, Alice Mwakatika akikabidhi sehemu ya vyakula kwa mmoja wa wakazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam. 
Mratibu wa Matukio ya Kijamii wa Taasisi ya Doris Mollel, Alice Mwakatika (kulia) pamoja na Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu wa taasisi hiyo, Rahma Amoud (wa pili kulia) wakikabidhi sehemu ya vyakula kwa Bi. Aisha Mohamed (kushoto) mkazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema.
Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu wa Taasisi ya Doris Mollel, Rahma Amoud akikabidhi sehemu ya vyakula kwa wakazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema.
Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu wa Taasisi ya Doris Mollel, Rahma Amoud akikabidhi sehemu ya vyakula kwa Bi. Ashura Nassor mkazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, iliyofanyika leo Juni 24, 2017. Katikati ni Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mpakani, Shaban Kawambwa.
Mratibu wa Matukio ya Kijamii wa Taasisi ya Doris Mollel, Alice Mwakatika akimkabidhi mfuko wa sandarusi wenye vyakula mbalimbali Mtoto Biatha Shembilu (14)  ambaye ni mgonjwa wa moyo mkazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema.
Rahma Amoud wa DMF akikabidhi sehemu ya vyakula kwa Mzee Abdul Mkwanda na Mkewe Bi. Moshi Mlango wakazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema.

No comments:

Post a Comment

Pages