Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

HABARI KATIKA PICHA NA MSIMU WA PAMBA

Elimu ya Mizani sio zoezi lakukoma bali ni Muendelezo kama Wakala wa Vipimo anavyo onekana kutoa Elimu katika Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Tabora na Mwanza.
Mkulima wa Pamba Mkoani Shinyanga akipima Pamba yake katika mzani uliohakikiwa. 
Ofisa wa Wakala wa Vipimo, Bibi Rehema Michael akipima usahihi wa robota la Pamba kwakutumia mizani iliyohakikiwa na wakala wa Vipimo mkoani Simiyu mara baada yakufunguliwa kwa Msimu (Picha zote na Wakala wa Vipimo).

1 comment:

  1. Kazi nzuri sana kiongozi hii inaonesha jinsi gani tumedhamiria kuujuza umma.

    ReplyDelete