Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MALINZI, AVEVA, KABURU, MWESIGWA WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

 Baadhi ya wadau wa Soka wakiwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kabla ya viongozi wa TFF na viongozi wa Klabu ya Simba kufikishwa mahakamani hao leo. (Picha na Francis Dande).
Magari ya yaliyowabeba viongozi wa TFF na Simba yakiwasili mahakamani hao.
 Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' akiwasili mahakamani.
 Rais wa Simba Evance Aveva (katikati) na Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' wakiwasili mahakamani.
 Rais wa Simba Evance Aveva ikiingia mahakamani.
 Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine akiingia mahakamani. 
 Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiingia mahakamani. 
 Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine, Rais wa TFF, Jamal Malinzi, Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' na kulia ni Rais wa Simba, Evance Aveva, wakiwa mahakamani.
  Jamal Malinzi akiteta jambo na Geofrey Nyange mahakamani hapo.
  Wakili Aloyce Komba akimpa mkono Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiteta jambo na Geofrey Nyange mahakamani hapo. 
Rais wa Simba, Evance Aveva akiteta jambo na Makamu wake, Geofrey Nyange 'Kaburu' kabla ya kesi yao haijaanza kusikilizwa.

No comments:

Post a Comment