HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 07, 2017

MFUMO MPYA WA UHASIBU NA UTOAJI TAARIFA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Rehema Dendegu akifungua mafunzo ya siku mbili ya mfumo mpya wa Uhasibu na Utoaji Taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma ‘Facility Financial Accounting and Reporting System – FFARS katika ukumbi wa LAPF Conference Centre Dodoma.
Nyaborogo Patrick Marwa, Mhasibu wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino akichangia wakati wa mafunzo ya mfumo mpya wa uhasibu na utoaji taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma ‘Facility Financial Accounting and Reporting System – FFARS.
Mkuu wa Kitengo cha Mifumo ya Fedha wa Mradi wa PS3, Dkt. Gemini Mtei, akielezea lengo la mafunzo ya mfumo mpya wa uhasibu na utoaji taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma ‘Facility Financial Accounting and Reporting System – FFARS.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya mfumo mpya wa uhasibu na utoaji taarifa za fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma ‘Facility Financial Accounting and Reporting System – FFARS wakifanya mafunzo kwa vitendo baada ya maelekezo kutoka kwa wakufunzi. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.

No comments:

Post a Comment

Pages