Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MMILIKI WA IPTL, MFANYABIASHARA JAMES RUGEMALILA WAFIKISHWA MAHAKAMANI

 Mke wa mfanyabiashara maarufu, James Rugemalila (wa pili kushoto) akiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, wakati mume wake alipofikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi pamoja na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh. (Picha na Francis Dande)
 James Rugemalila na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh, wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi kabla ya kupanda kizimbani. 
James Rugemalila na Harbinder Seth Sigh, wakinyanyuka kuelekea mahakamani.
 Watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi, Mfanyabiashara, James Rugemalila na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Familia ya Rugemalila ikifuatilia mwenendo wa kesi hiyo mahakamani.

 James Rugemalila akiwa chini ya uliunzi wa Polisi wakati akitoka mahakamani.
 Watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi, mfanyabiashara, James Rugemalila na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh wakitoka mahakamani.

James Rugemalila na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh wakielekea kupaanda gari tayari kwa safari ya kuelekea mahabusu.

 James Rugemalila na mmiliki wa Kampuni ya IPTL, Harbinder Seth Sigh wakiwa ndani ya gari la Polisi wakati wa kuelekea mahabusu.

No comments:

Post a Comment