Dande Contanct

KWA MAWASILIANO ZAIDI. E-mail: dande15us@gmail.com.

CRDB

CRDB
.

UTT

UTT
.

NSSF-SHIB

.

.

Pages

NDESAMBURO KUZIKWA JUMANNE

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson, akimpa mkono wa pole mama mjane wa Marehemu Dk. Philemoni Ndesamburo alipotembelea nyumbani kwa marehemu kutoa salamu za pole.​ Marehemu Ndesamburo anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne nyumbani kwake. 
Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi ya marehemu Philemoni Ndesamburo,ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Rombo ,Joseph Selasini akizungumza jambo na kaimu kamanda wa Polisi wilaya ya Moshi ,(OCD) Pancras Mndimi katika uwanja wa Mashujaa baada ya kutolewa zuio la kufanyika shughuli ya kumbukizi ya Marehemu Dk. Ndesamburo. (Picha na Dixon Busagaga)

No comments:

Post a Comment