HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 07, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA SHUGHULI YA USAMBAZAJI VIFAA KUFUNDISHIA SAYANSI

 Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akiangalia Mtoto wa Darasa la asaba Uhuru  Mchanganyiko Mariana  Alex  Mwenye  ulemavu  wa macho  , anavyo weza kuandika  kwakutumia  mashine  maalumu  ya kuandika  , June 6 2017 Waziri  Mkuu  alikabidhi  vifaa  vya Kujifunzia   katika shule mbali mbali hapa Nchini Shughuli hiyo imefanyika  Jijini  Dar es salaam. Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu.
 Waziri  Mkuu  Kassim  Majaliwa  akijaribu  kuandika  kwakutumia  kifaa maalumu  chakujifunzia  kuandika  watoto wenyeulemavu  wa  Macho  6 june2017, Kulia kwa Waziri Mkuu ni Waziri wa Elimu na Sayansi  Profesa  Joyce  Ndalichako,  Waziri  Mkuu  alikabidhi  vifaa  vya Kujifunzia   katika shule mbali mbali hapa Nchini Shughuli hiyo imefanyika  Jijini  Dar es salaam.
Waziri Mkuu  Kassim  Majaliwa  akisalimiana na Ofisa  wa Banki ya Dunia anayeshughulikia  Elimu  nchini  Tanzania  Bibi  Cornelia  J esse , katikati ni Ofisa  wa  Ubalozi  Swiden  Nchini Tanzania  anayeshughulikia Elimu Bibi Helena  Reutersward, maofisa hao walishiriki katika  Uzinduzi  wa Usambaziji  vifaa   vya  kufundishia  Masomo ya  Sayansi 

No comments:

Post a Comment

Pages