Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

YANGA KAMA SIMBA YATOLEWA KATIKA NUSU FAINALI YA SUPER CUP

 Beki wa AFC Leopards ya Kenya, Abdallah Salim, akichuana na mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Super Cup katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. (Picha na Said Powa).
Golikipa wa AFC Leopards, Denis Shikai, akiokoa moja ya hatari langoni mwake katika mchezo wa Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Super Cup uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
  Beki wa AFC Leopards ya Kenya Mawira Joshua (kushoto) akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi wakati wa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la SportsPesa Super Cup, katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. AFC Leopards ilishinda kwa penalt 4-2. (Picha na Said Powa)
Hekaheka katika lango la AFC Leopards.

No comments:

Post a Comment