Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

KESI YA VIONGOZI WA SIMBA YAAHIRISHWA TENA, AFYA YA KABURU YATETELEKA

Rais wa Klabu ya Simba, Evance Aveva, akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kesi inayomkabili ya kutakatisha fedha kuahirishwa.
Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali 'Field masha' na wanachama na mashabiki wa klabu hiyo nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, wakati wa kesi ya kutakatisha fedha inayowakabili viongozi wa Simba ilipotajwa tena nakuahirishwa hadi Julai 31. Kesio hiyo inawahusisha Rais wa Simba na Makamu wa Rais, Geofrey Nyange 'Kaburu'. Hata hivyo Makamu wa Rais alishindwa kufika mahakamani hapo kutokana na kuugua.

No comments:

Post a Comment