HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 03, 2017

LOWASSA ASHIRIKI MSIBA WA MAMA HAWA SHAHIDI

 Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Hawa Shahidi wakati wa ibada ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Kunduchi jijini Dar es Salaam. (Na Mpiga Picha Wetu).
Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa, akimpa pole leo, Bakari Harrith Mwapachu kufuatia kifo cha mama mkwe wake, mama Hawa Shahidi, wakati wa ibada ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Kunduchi jijini Dar es Salaam. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages