Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MATOKEO KIDATO CHA SITA YUATANGAZWA


Mkurugenzi wa Shule za Sekondari za Feza, Ibrahim Yunusi (katikati), akiwa na wanafunzi wa kike wa shule hiyo waliofanya vizuri katika masomo ya kidato cha sita. Kushoto ni Kabhabhela Bukuru aliyeshika nafasi ya 7 kwa wasichana na Atuganile Cairo, aliyeshika nafasi ya 8 kitaifa. (Picha na Francis Dande).
 Mwanafunzi Bora aliyeshika nafasi ya kwanza Kitaifa katika masomo ya Lugha na Sanaa kutoka Shule ya Secondari Feza Boys, Francis Samkyi, akiwa akiwa amebebwa na wenzake baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha sita

 Francis Samkyi akipongezwa na wanafunzi wenzake.
  Francis Samkyi akipongezwa na wanafunzi wenzake.
Francis Samkyi akipongezwa na wanafunzi wenzake. 
Francis Samkyi akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima, Ibrahim Yamola.
 Francis Samkyi akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake, Thomas Simkyi na Victoria Simkyi.
 Francis Samkyi akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake, Thomas Simkyi na Victoria Simkyi.
 Francis Samkyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na familia yake.
 Francis akipongezwa na mama yake mzazi.
 Francis akipongezwa na mama yake mzazi, Victoria Simkyi.
Francis Samkyi akipongezwa na baba yake mzazi, Thomas Simkyi.
 Francis Samkyi (katikati), akitoka shuleni na wazzi wake.

No comments:

Post a Comment