Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

ROONEY AIFUNGIA TIMU YAKE BAO DAKIKA YA 35 KATIKA MCHEZO WAKE WA KWANZA AKIWA EVERTON

 Shabiki wa soka akiwa amemkumbatia mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney wakati wa mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Daily Mail).
Mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney (katikati), akipiga mpira uliozaa bao la kwanza la timu yakekatika mechi dhidi ya Gor Mahia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaa leo.(Picha na Daily Mail). 
Wayne Rooney akishangilia bao aliloifungia timu yake katika dakika ya 35 ya mchezo.
Polisi wakimtoa shabiki wa Soka aliyemkumbati mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney wakati wa mechi na Gor Mahia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaa leo.
 Kikosi cha Everton.
 Wachezaji wa Everton na Gor Mahia wakiwa katika picha ya pamoja.
Kikosi cha Gor Mahia.

No comments:

Post a Comment