Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

RUGEMARILA, SETHI, WAONGEZEWA MASHTAKA WAKUDI RUMANDE HUKU JAMAL MALINZI NA WENZAKE WAGONGA MWAMBA OMBI LA KUTAKA KUPATA DHAMANA

  Mfanyabiashara, James Rugemarila, akipanda basi la magereza baada ya kesi ya inayomkabili ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha kuahirishwa hadi Julai 14 ambapo washtakiwa hao wameongezewa mashtaka mengine sita na kufanya kuwa na mashtaka 12 kabla ya hapo walikuwa wanakiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mmiliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Singh Sethi,  akipanda basi la magereza baada ya kuahirishwa kwa kesi inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mmiliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Singh Sethi, akiwa ndani ya basi la magereza. 
 Jamal Malinzi akitoka Mahakamani.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na akielekea kupanda basi la magereza baada ya kuahirishwa kwa kesi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
 Malinzi akielekea kupanda basi.
Malinzi akionyeshwa mlango wa kuingilia katika basi la magereza.

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu wa TFF, Mwesgwa Selestine, wakipanda basi la magereza baada ya kuahirishwa kwa kesi inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine akipanda basi la Magereza. 
 Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine akipanda basi la Magereza.  
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine akipanda basi la Magereza.  
 Wadau wa soka wakiwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
 Mgombea wa nafasi ya urais wa TFF akihojiwa na waandishi wa habari nje ya mahakama. 
 Waandishi wa habari wakiwa nje ya Mahakama ya Kisutu. 
Jengo la Mahakama ya Kisutu. 

No comments:

Post a Comment