Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel

CRDB

CRDB
.

Pages

TAFFA YAFANYA MKUTANO WA WANACHAMA DAR

 Rais wa Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), Steven Ngatunga, akisoma hotuba yake katika mkutano wa wanachama uliofanyika leo Julai 15 ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande). 
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere akizungumza katika mkutano wa Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) katika Ukumbi wa Karimjee. 
 Baadhi ya wanachama wa TAFFA wakiwa katika mkutano huo.
 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere akizungumza katika mkutano wa Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) katika Ukumbi wa Karimjee. 

 Mwenyekiti wa Bodi ya TAFFA, Otieno Igogo, akizungumza katika mkutano huo.
 Wanachama wakiwa katika mkutano.

No comments:

Post a Comment