Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

TANESCO YAWA YA PILI KIPENGELE CHA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Zanzibar,Amina Salim Ali (wa pili kulia) akimkabidhi Cheti cha Ushindi wa pili kundi la Nishati na Madini, Afisa Uhusiano Tanesco Makao Makuu,Yasini Didas Silayo (kushoto) huku Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji,Profesa Adolf Nkenda,(kulia) na Kiongozi wa Tantrade.
Afisa Uhusiano Tanesco Makao Makuu,Yasini Didas Silayo (kushoto) akishikilia cheti na Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi Tanesco,Dk, Lugano Wilson,baada ya kukabidhiwa.

No comments:

Post a Comment