Dande Contanct

KWA MAWASILIANO ZAIDI. E-mail: dande15us@gmail.com.

CRDB

CRDB
.

UTT

UTT
.

NSSF-SHIB

.

.

Pages

WANANCHI WAPATA ELIMU JUU YA MFUKO WA PESHENI WA LAPF


Ofisa Matekelezo Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Juma Milinga, akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na mfuko huo wakati wa Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande).
Baadhi ya tuzo ilizopata Mfuko wa LAPF.
Wananchi wa kipata maelezo juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko wa LAPF katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba). 
Maofisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Juma Milinga, akitoa maelezo kuhusu Uwekezaji wakati wa Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakipata huduma mbalimbali katika banda la LAPF.

No comments:

Post a Comment