Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI LINDI KWA ZIARA YA KIKAZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaeleza   wananchi wa Kijiji cha Kiangala  jinsi serekali ya awamu ya tano inavyo shughulikia kero za za wananchi Nchini Wananchi hao   walijitokeza July 10, 2017  ili waweze kumueleza kero  zinazo wasumbua  Waziri  yupo Wilayani Liwale Mkoa wa lindi Kwaziara ya Kikazi ya siku Nne. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuuu
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akihutubia umati wa wananchi wa  wilaya ya liwale waliojitokeza kuja kumsikliza  Michezo wa  wilaya ya Liwale July 10, 2017 Waziri Mkuu yupo wilayani Liwale Mkoani Lindi kwa ziara ya Kikazi katika Mkoa  wa LINDI. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  na Mkewe Mery Majaliwa  wametembelea Hospitali  ya Wilaya ya Liwale Julai 10, 2017 na kuwazawadia  watoto mapacha wenye Siku Mbili  walio zaliwa katika Hospital ya  Liwale Waziri Mkuu yupo wilayani Liwale Mkoani Lindi kwa ziara ya Kikazi katika Mkoa  wa LINDI.

No comments:

Post a Comment