Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

BANDA LA UTT AMIS LAVUTIA WENGI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Baadhi ya wananchi waliofika katika banda la Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa kampuni hiyo, Mfaume Kimario na Abbas Kandila, walipotembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
Mwananchi akisoma kipeperushi chenye taarifa za Kampuni ya Uwekezaji UTT AMIS wakati alipotembelea banda la kampuni hoyo kwenye Maonyesho ya Sabasaba. 
Ofisa Masoko Mwandamizi wa Kampuni ya Uwekezaji UTT AMIS, Mfaume Kimario, akitoa maelekezo juu ya namna ya kujiunga na Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa mwananchi aliyefika katika banda la UTT AMIS baada ya kupata elimu juu ya kuhusu mifuko hiyo.
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS, Mfaume Kimario, akitoa maelekezo juu ya namna ya kujiunga na Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja kwa mwananchi aliyefika katika banda la UTT AMIS.
Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa UTT AMIS, Mfaume Kimario, akitoa Elimu Juu ya Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja kwa mmoja kwa wananchi waliofika katika banda la UTT AMIS katika Maonyesho ya Sabasaba.
Ofisa wa Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS, Abbas Kandila akitoa Elimu Juu ya Huduma wanazotoa kwa wananchi waliofika katika banda la kampuni hiyo.
Maofisa wa Kampuni ya Uwekezaji UTT-AMIS, Nuru Thabit na Halfan Mnongane, wakitoa maelezo kwa wanachama walipofika katika banda la UTT AMIS katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).

No comments:

Post a Comment