Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

BENKI YA CRDB YAKABIDHI GARI KITUO CHA POLISI KAWE DAR

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia), akimkabidhi funguo ya gari, Mkuu wa Kitengo cha Mafao na Fidia Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Suzan Kaganda kwa ajili ya Kituo cha Polisi cha Kawe jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Kawe, Jiliyo Simba, Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Kata ya Kawe, Husna Nondo na kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Murilo Jumanne Murilo. (Picha na Francis Dande).
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akizungumza katika hafla ya Benki ya CRDB kukabidhi msaada wa gari kwa ajili ya Kituo cha Polisi Kawe jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Mafao na Fidia Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Suzan Kaganda, akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya gari la Polisi lililotolewa kama msaada na Benki ya CRDB kwa ajili ya Kituo cha Polisi Kawe.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Murilo Jumanne Murilo, akizungumza katika hafla hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Mafao na Fidia Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Suzan Kaganda, akipeana mkono naMkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Murilo Jumanne Murilo, akipeana mkono na Mkuu wa Kitengo cha Mafao na Fidia Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Suzan Kaganda.
Mwernyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Kata ya Kawe, Husna Nondo, akimkabidhi cheti cha shukrani Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kawe, Mary Zambi (kushoto) na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Magomeni, Christina Makwi (kulia), wakifuatilia kwa makini hafla ya Benki ya CRDB kukabidhi msaada wa gari la Polisi kwa ajili ya Kituo cha Kawe.
Viongozi wa Polisi na Benki ya CRDB wakiwa Meza Kuu.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia), akimkabidhi funguo ya gari, Mkuu wa Kitengo cha Mafao na Fidia Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Suzan Kaganda kwa ajili ya Kituo cha Polisi cha Kawe jijini Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Kawe, Jiliyo Simba (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Kata ya Kawe, Husna Nondo.
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CEDB, Tully Mwambapa (katikati), akiwa na Maofisa wa Jeshi la Polisi pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo.
Kamishina Msaidi wa Polisi, Suzan Kaganda akijaribu gari walilokabidhiwa na Benki ya CRDB.
Kamishina Msaidi wa Polisi, Suzan Kaganda akijaribu gari walilokabidhiwa na Benki ya CRDB.
Kamishina Msaidi wa Polisi, Suzan Kaganda akimkabidhi funguo kama ishara ya kumkabidhi gari hilo kwa ajili ya Kituo cha Polisi Kawe.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Murilo Jumanne Murilo, akishukuru baada ya kukabidhiwa gari la Polisi lililotolewa na Benki ya CRDB kama msaada.
Kamishina wa Polisi Msaidizi, Suzan Kaganda, akikabidhi cheti cha shukrani kwa Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (katikati) baada ya Benki ya CRDB kukabidhi gari la Polisi kwa ajili ya Kituo cha Kawe. Wengine katika picha ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kawe, Mary Zambi, Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Magomeni, Christina Makwi (wa pili kushoto) na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Kata ya Kawe, Husna Nondo.

No comments:

Post a Comment