Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) KUADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI OKTOBA 9, 2017

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi, akizungumza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wakurugenzi na waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo, wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Kaimu Postamasta Mkuu, Deo Kwiyukwa.
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa akizungumza kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, yatakayofanyika Oktoba 9, nchini, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakiwa kazini, wakichukua picha wakati Kaimu Postamasta Mkuu, Deo Kwiyukwa akizungumza katika mkutano huo, leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa akizungumza kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, yatakayofanyika Oktoba 9, nchini, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. 
Baadhi ya waandishi wa habari kutoa vyombo mbalimbali vya habari, wakifuatilia melezo yaliyokuwa yakitolewa na Kaimu Postamasta Mkuu wa TPC, Deo Kwiyukwa leo jijini. 
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini wakati Kaimu Postamasta Mkuu, Deo Kwiyukwa, akizungumza nao katika mkutano huo, leo jijini.
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa akifafanua jambo katika mkutano huo.  
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Deo Kwiyukwa akizungumza. Kushoto ni Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara wa TPC, Hassan Mwang'ombe. 
Baadhi ya Wakurugenzi wa TPC na waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
 Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Deo Kwiyukwa akifafanua jambo wakati wa kikao.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo, wakisikiliza kwa makini. 
Mwandishi Nasra Mohammed (kulia), akiuliza swali wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Meneja Msaidizi Huduma za barua, Jason Kalile na katikati ni Meneja Mkuu wa Kitengo cha Huduma za barua, Fadya Zam.
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Deo Kwiyukwa akijibu maswali ya waandishi wa habari, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, itakayoadhimishwa Oktoba 9, 2017.   
Meneja Msaidizi Huduma za barua, Jason Kalile, akijibu maswali ya waandishi wa habari, kuhusu masuala ya utumaji na upokeaji wa barua pamoja na huduma ya Posta mlangoni.  
Meneja Msaidizi Huduma za barua, Jason Kalile, akijibu maswali ya waandishi wa habari, katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment