HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 18, 2017

Mhe. Malima atembelea Kiwanja cha ndege cha Musoma

Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Musoma, Bi. Betha Bankwa akitoa maelezo mbalimbali kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Kigoma Malima (wa pili kulia) leo Ijumaa alipofanya ziara kwenye kiwanja hicho. 
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Kigoma Malima (aliyenyoosha mkono), akielekeza jambo kwa Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Musoma, Bi. Betha Bankwa leo alipotembelea kiwanjani hapo.

No comments:

Post a Comment

Pages