HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 24, 2017

Tamasha la Tigo Fiesta kufanyika Jumamosi Jijini Dar



Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati) akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo Fiesta siku ya jumamosi viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam leo mchana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tigo Fiesta, Sebastian Maganga na wengine ni wasanii.

Msanii Ben Pol akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kiume.
Msanii Vanessa Mdee akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kike.
Msanii Barnaba akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo.
Mdau akipata picha na msanii Vanessa.
Wasanii Aslay na Rich Mavoko wakisalimiana jna wafanyakazi wa duka la Tigo Mlimani city walipotembelea duka hilo leo mchana.
Msanii Barnaba akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo.

Mkurugenzi mkuu wa Tigo Tanzania Simon Karikari akisalimiana na msanii Vanessa Mdee.

No comments:

Post a Comment

Pages