Dande Contanct

KWA MAWASILIANO ZAIDI. E-mail: dande15us@gmail.com.

CRDB

CRDB
.

UTT

UTT
.

NSSF-SHIB

.

.

Pages

BABU SEYA NA MWANAE WAACHIA HURU NA KWA MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI

Mzee Nguza Vicking na mwanae Papii Kocha wakiwapungia mkono ndugu na jamaa waliofika Gereza Kuu la Ukongo kuwapokea baada ya kuachia huru kwa msamaha wa Rais John Magufuli. Nguza na Papii walihukumiwa kifungo cha maisha jela.

Furaha ya kutoka gerezani.
 Babu Seya akiingia katika gari dogo baada ya kutoka gerezani.
 Watu wakiwa wamelizonga gari alilopanda Papii Kocha na Babu Seya.
Baadhi ya wasanii waliofika kuwapokea Babu Seya na Papii Kocha. 
Baadhi ya watu waliojitokeza katika Gereza Kuu la Ukonga wakati Papii Kocha na Babu Seya wakitoka gerezani wakisukuma gari walilokuwa wamepanda wanamuziki hao.

No comments:

Post a Comment