HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 06, 2017

CHALAMILA MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI "ASAS" ACHUKUA UJUMBE WA (NEC) TAIFA KWA KISHINDO


Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura na kuelezea Dira na Mwelekeo wa Uongozi wake mara baada ya kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa, katikati ni Salim Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa na kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Mh. Januari Makamba.

Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa katika uchaguzi huo akiwashukuru wapiga kura mara baada ya kutangazwa mshindi kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Mh. Januari Makamba na kulia ni Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila.

Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chlamila kulia na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa wakiwashukuru wana CCM mkoa wa Iringa kwa kuwaamini na kuwapa ridhaa ya kukiongoza chama hicho.

Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila kuli na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutangazwa washindi katika uchaguzi huo.

Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa wakiwa wakii.furahi paoja na wapiga kura mara baada ya kutangazwa washind.

Salim Abri Asas Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM( NEC) akipongezwa na wanachama mbalimbali wa CCM mara baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi huo.

Wapiga kura wakiendelea na upigaji wa kura wakati wa uchaguzi huo.

No comments:

Post a Comment

Pages