Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

MAHAFALI YA 16 YAFANYIKA CHUO KIKUU MZUMBE
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akimkaribisha Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta katika mahafali ya 16 yaliyofanyika chuoni hapo mkoani Morogoro.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta, akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Chuo Kikuu Mzumbe.

Brass Band ikiongoza maandamano.

Mlau, Prof. Binamungu akiongoza maandamano.Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu Mzumbe Novemba 30, 2017.

Hassanal Bandapile Issaya. (PhD)

Saida Seleman Fundi (PhD).

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta, akimtunuku shahada ya Uzamivu (PhD), Saida Seleman Fundi.

Thobias Raphael Mnyasenga (PhD).

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta, akimtunuku shahada ya Uzamivu (PhD), Thobias Raphael Mnyasenga.

Titus Olaph Mwageni (PhD).

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta, akimtunuku shahada ya Uzamivu (PhD), Titus Olaph Mwageni.

Wahitimu waliopata shahada za Uzamivu (PhD).

Baaadhi ya wafanyakazi wa Mzumbe.

Baadhi ya wahitumu.
Wakuu wa vitivo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Chuo Kikuu Mzumbe wakiwa katika mahafali hayo.

Baadhi ya wahitimu wa shahada mbalimbali.

Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sheria.

Wahitimu wa shahada mbalimbali.

Wahitimu wa shahada mbalimbali.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Mkuu mstaafu, Barnabas Samatta, baada ya kutunuku shahada mbalimbali za wahitimu wa chuo hicho.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka.

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Prof. Mathew Luhanga.

No comments:

Post a Comment