HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 12, 2017

MIILI 14 YA ASKARI WALIOUAWA DRC YAWASILI TANZANIA

 Ndege ya Umoja wa Mataifa (UN), iliyobeba miili ya askari 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa  mwishoni mwa wiki nchini DRC ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Jeshi Airwing, Dar es Salaam (DRC). (Picha na  Francis Dande).
 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi (katikati), akiwa na Mkuu wa Majeshi, Venace Mabeyo, wakati wa kuipokea miili ya askari 14 waliouawa na waasi nchini Congo.
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa wamebeba jeneza katika uwanja wa ndege wa jeshi Airwing, Dar es Salaam jana, lenye miili ya askari waliouwawa  mwishoni mwa  wiki Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC).
 
 Askari wakipakia miili katika gari.
 Askari wakiwa na huzuni wakati miili ya wenzao ikiwasili.
 Miili ya mashujaa wetu ikitolewa katika ndege ya UN iliyowaleta kutoka Congo.

No comments:

Post a Comment

Pages