HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 06, 2017

WAZIRI LUKUVI AZINDUA MNARA WA MWALIMU NYERERE NA MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu.
 
Mnara wa Mwalimu Nyerere uliozinduliwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi leo mchana.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akikagua ndani ya jengo hilo jipya la makao makuu ya NHC akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mussa Efata wa NHC wakati akikagua jengo hilo jipya la makao makuu ya NHC.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akimpongeza Mzee Galus Abeid wakati wa uzinduzi wa jengo hilo.
Mkurugenzi wa Usimamizi Milki wa NHC, Hamad Abdallah akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.
Mkurugenzi wa Ubunifu wa NHC, Issack Peter akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifurahi jambo baada ya kuzindua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.
Jengo la Makao makuu ya Shirika hilo lijulikanalo kama KAMBARAGE HOUSE ikiashiria kumuenzi Rais wa Kwanza ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere linavyoonekana sasa. Uzinduzi wa jengo hilo la makao makuu umekwenda sambamba na uzinduzi wa Mnara wa Mwalimu Julius Nyerere uliofanywa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi

No comments:

Post a Comment

Pages