HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 23, 2018

NMB YAINGIA MKATABA NA AZAM FC

Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Ineke Bussemaker, (katikati), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kuingia mkataba wa udhamini na Azam FC. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohamed na kushoto ni Mkurugenzi wa wateja Wadogo na wa Kati wa benki hiyo, Abdulmajid Nsekela.  (Picha na Francis Dande).
Mkurugenzi wa wateja Wadogo na wa Kati wa benki ya NMB, Abdulmajid Nsekela, akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kuingia mkataba wa udhamini na Azam FC.
 Mkurugenzi Mkuu wa NMB, Ineke Bussemaker, (wa pili kushoto), akibadilishana mkataba wa udhamini na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohamed jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa wateja Wadogo na wa Kati wa benki hiyo, Abdulmajid Nsekela na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Azam FC, Yusuf Bakhresa.

No comments:

Post a Comment

Pages