HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 05, 2018

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MPIGAPICHA NGULI ATHUMANI HAMISI

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemuAthumani Hamisi Sinza jijini Dar es Salaam kabla ya mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya kisutu Dar es Salaam.
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa mpigapicha wa magazeti ya Serikali ya Daily News na Habari Leo, marehemu Athumani Hamisi wakati mwili ukipelekwa kuswaliwa katika msikiti wa Masjid Swafaa uliopo Sinza.
 Waombolezaji.
 Waombolezaji.
Waombolezaji.
 Waombolezaji.

 Kutoka kushoto ni Richard Mwaikenda, Francis Dande, Saum na Halima Kambi.
Mwandishi wa habari nguli, Said Msonda (kushoto), akiwa na Francis Dande.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia), akizungumza na kaka wa marehemu Athumani Hamisi, alipoenda kutoka pole kwa familia yake.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akiwa nyumbani kwa marehemu Athumani Hamisi, Sinza jijini Dar es Salaam, alipoenda kutoa pole.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja.
Shughuli za mazishi zikiendelea..
 Waombolezaji wakishiriki mazishi ya marehemu Athumani Hamisi.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari walioshiriki mazishi ya marehemu Athumani Hamisi.
 Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiondoka katika makaburi ya kisutu baada ya kushiriki mazishi ya marehemu Athumani Hamisi katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
 Muhidini Sufiani akisalimiana na Rais mstaafu Jakaya Kikwete.
 Rais mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na Bw. Francis Dande wakati wa mazishi ya marehemu Athumani Hamisi.

Rais mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na mpigapicha wa Ink Corporate Communication Ltd, Albart Jackson wakati wa mazishi ya marehemu Athumani Hamisi.

No comments:

Post a Comment

Pages