HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 11, 2018

SIMBA YATOA KIPIGO CHA 4-0 KWA DJIBOUTI

 Rais mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiwasalimia mashabiki wa soka.
 Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, akiwasalimia wachezaji wa Simba kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC), kati ya timu hiyo na Gendarmarie ya Djibouti kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa mabao 4-0.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia.
Hekaheka katika lango la Djibouti.
 Mshambuliaji na nahodha wa Simba, John Bocco, akiwatoka wachezaji wa timu ya Gendarmarie ya Djibouti katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC), uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa mabao 4-0.

No comments:

Post a Comment

Pages