Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

FINCA TANZANIA YASHEREHEKEA MIAKA 20 YA MAFANIKIO

Mwenyekiti wa Bodi ya FINCA, Mike Gama-Lobo, akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya kutimiza miaka 20 ya Benki ya Finca Tanzania.
Wageni mbalimbali.
 Wageni mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo.
 Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makapuni ya FINCA Duniani, Andree Simon, akizungumza katika hafla ya kutimiza miaka 2o kwa Benki ya Finca Tanzania.
Meza Kuu.
 Naibu Gavana wa BoT, Dk. Bernard Kibesse, akizungumza katika hafla hiyo.
Naibu Gavana wa BoT, Dk. Bernard Kibesse, akitoa hotuba yake.
Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makapuni ya FINCA Duniani, Andree Simon (kulia), akimkabidhi tuzo Ofisa Mtendaji Mkuu FINCA Tanzania, Issa Ngewgwe. 
Ofisa Mkuu wa Utawala wa  Benki ya FINCA Tanzania, Mary Maridadi, akimkabidhi tuzo mteja wa benki hiyo, Perpetua John, katika sherehe za kutimiza miaka ishirini ya benki hiyo jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Ofisa Mtentaji wa FINCA Tanzania, Issa Ngewgwe (wa tano kutoka kushoto), akionyesha tuzo aliopewa na uongozi wa FINCA Duniani katika hafla ya kutimiza miaka 20 ya FINCA Tanzania. Wa tatu kushoto ni Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makapuni ya FINCA Duniani, Andree Simon (wa tano kulia),  Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Shabaan (katikati), Naibu Gavana wa BoT, Dk. Bernard Kibesse, (wa nne kulia), Mchumi Mwandamizi, Wizara ya fedha na Mipango, Deonisia Mjema (wa tatu kulia), Mjumbe wa Bodi ya FINCA, Tanzania, Kelvin Twisa (wa pili kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya FINCA, Mike Gama-Lobo (wa tatu kushoto).

No comments:

Post a Comment