Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

SIMBA YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-0

 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.  
  Boko akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza.
Okwi na Bocco wakishangilia.
Nahodha wa Simba, John Bocco, akimbeba mshambuliaji wa timu hiyo, Shiza Kichuya wakati akishangilia bao la kwanza aliloifungia la timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Simba ilishinda 2-0. (Picha na Said Powa).

No comments:

Post a Comment