HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 22, 2018

Vodacom Tanzania Foundation watoa msaada wa vifaa vya afya ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakishiriki kufunga vitanda na vifaa mbalimbali  vilivyotolewa  msaada na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation  kwa ajili ya  matumizi ya kitengo cha afya ya mama na mtoto  katika Hospitali ya mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam leo,  vifaa vilivyokabidhiwa katika Hospitali hiyo ni  vitanda vya Gynecological unit 2, vitanda vya uchunguzi 5, mapazia ya wodini 5, Vifaa vya kushikia drip 5 na taa za uchunguzi 10.

 Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakishiriki kufunga  vifaa mbalimbali  vilivyotolewa  msaada na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation  kwa ajili ya  matumizi ya kitengo cha afya ya mama na mtoto  katika Hospitali ya mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam leo
  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) akiongea wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa vya  afya ya mama na mtoto  katika Hospitali ya mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam leo,  vifaa vilivyokabidhiwa  ni  vitanda vya Gynecological unit 2, vitanda vya uchunguzi 5, mapazia ya wodini 5, Vifaa vya kushikia drip 5 na taa za uchunguzi 10, wa pili Kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke Dkt. Amani Malima na Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke Dkt Projest Mutasingwa  aliyemwakilisha mkuu wa Wilaya.
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto ), akimkabidhi  moja ya taa kati ya taa 10 Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke Projest Mutasigwa (kulia) wakati walipokwenda kutoa msaada wa vifaa vya afya ya mama na mtoto katika Hospitali ya Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam. Wapili Kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Amani Malima.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto ) akimkabidhi   kitanda cha kujifungulia, Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa ya Temeke Projest Mutasingwa (kulia)  wakati walipokwenda kutoa msaada wa vifaa vya  afya ya mama na mtoto katika Hospitali ya mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam,  vifaa vilivyokabidhiwa  ni pamoja na vitanda vya Gynecological unit 2, vitanda vya uchunguzi 5, mapazia ya wodini 5, Vifaa vya kushikia drip 5 na taa za uchunguzi 10. Takriban wanawake 11,000 wanapoteza maisha yao kila mwaka kutokana na matatizo ya kujifungua, asilimia 80 ya vifo hivi vinaweza kuzuilika. Wanawake na watoto wachanga wanakufa kutokana na uhaba wa huduma bora za afya. Inakadiriwa kila  mwanamke mmoja katika ya wanawake 38 nchini  yuko hatarini kupoteza maisha. Wapili Kushoto ni mganga mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Amani Malima.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc,  pamoja na wauguzi wa hospitali ya mkoa wa Temeke wakiwa  na vifaa mbalimbali  vilivyo tolewa  msaada na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation  kwa ajili ya  matumizi ya kitengo cha afya ya mama na mtoto  katika Hospitali ya mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam leo,  vifaa vilivyokabidhiwa katika Hospitali hiyo ni  vitanda vya Gynecological unit 2, vitanda vya uchunguzi 5, mapazia ya wodini 5, Vifaa vya kushikia drip 5 na taa za uchunguzi 10.Takriban wanawake 11,000 wanapoteza maisha yao kila mwaka kutokana na matatizo ya kujifungua asilimia 80 ya vifo hivi vinaweza kuzuilika. Wanawake na watoto wachanga wanakufa kutokana na uhaba wa huduma bora za afya. Inakadiriwa kuwa mwanamke mmoja kati ya wanawake 38 nchini  yuko hatarini kupoteza maisha wakati wa ujauzito au kujifungua na watoto wachanga wapatao 48,000 wanafariki  idadi hii ikiwa ya kumi duniani.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Jacquiline Materu  mara baada ya kukabidhi   msaada na vifaa  mbalimbali  afya ya mama na mtoto  katika Hospitali ya mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam leo, 
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakishiriki kupanga  vitanda na vifaa mbalimbali  vilivyotolewa  msaada na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation  kwa ajili ya  matumizi ya kitengo cha afya ya mama na mtoto  katika Hospitali ya mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment

Pages