HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 04, 2018

BENKI YA CRDB YAVUTIA WENGI MAONYESHO YA SABASABA 2018

Baadhi ya wananchi waliofika katika Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' wakipata huduma za kutoa na kuweka pesa katika tawi linalotembea la Benki ya CRDB 'Mobile Branch' jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakipata huduma za kifedha katika banda la Benki ya CRDB katika Maonyesho ya Sabasaba.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Lumumba, Pendo Assey (kushoto), akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Jessica Nyachiro, alipotembelea Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba'.

Wateja wa Benki ya CRDB wakijaza fomu kwa ajili ya kupata huduma.

Baadhi ya wateja waliofika katika banda la Benki ya CRDB katika Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' wakipata huduma za kutoa na kuweka fedha kwa wakala wa benki hiyo.

Mteja akipata huduma kwa Wakala wa Fahari Huduma.

Mteja akipata huduma.


Meneja Biashara wa Benki ya CRDB tawi la Lumumba, Mamertus Luena, akitoa huduma kwa mteja.

Watu wakipata huduma katika Banda laBenki ya CRDB.

Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya CRDB, Jessica Nyachiro, akisaini kitabu cha wageni alipofika katika banda la Benki ya CRDB katika Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' inayoendelea jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Benki Kidigitali wa Benki ya CRDB, Mangire Kibanda, akisaini kitabu cha wageni.

Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages