Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

.

CRDB

CRDB
.

Pages

UFARANSA YATWAA KOMBE LA DUNIA 2018, YAICHAPA CROATIA 4-2


Wachezaji wa Ufaransa wakimrusha juu kocha wao, Didier Deschamps. (Picha na Daily Mail).

Wachezaji wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe lao.
Wachezaji wa Ufaransa wakishangilia na kombe lao baada ya kulikosa kwa kipindi cha miaka 20. Ufaransa imeifunga Croatia mabao 4-2 katika mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia 2018.

Mario Mandzukic (katikati), akiruka juu kupiga mpira wa kichwa katika harakati za kuokoa na kujifunga mwenyewe katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia unaoendelea kwenye Luzhniki mjini Moscow.

Wachezaji wa Ufaransa wakishangilia bao la kwanza la timu yao.

Mshambuliaji wa Croatia, Ivan Perisic, akiifungia timu yake bao.

Antoine Griezman akijiandaa kupiga penalti.

Antoine Griezmann akiifungia timu yake kwa mkwaju wa penalti.
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe, akishangilia na wanchezaji wenzake bao la 4 aliloifungia timu yake.

Croatia wakishangilia bao lililofungwa na Ivan Perisic.

Beki wa Croatia, Ivan Strinic (kushoto), akichuana na mshambuliaji wa France, Kylian Mbappe.
Mshambuliaji wa Croatia, Mario Mandzukic (kushoto), akimtoka Paul Pogba wa Ufaransa.

Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao la tatu.

Kylian Mbappe akiifungia timu yake bao la nne.

No comments:

Post a Comment