HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

July 20, 2018

MAELFU WAJITOKEZA KATIKA BANDA LA CHUO KIKUU MZUMBE KWENYE MAONYESHO YA 13 YA ELIMU YA JUU

 Baadhi ya wanafunzi pamoja na wazazi wakiwa katika Banda la Chuo Kikuu Mzumbe kupata taarifa mbalimbali za kujiunga na kozi zinazotolewa na chuo hicho wakati wa maonyesho ya 13 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe, Frank Kilima (kulia), akimuelekeza namna ya kujiunga na chuo hicho kwa kwa njia ya mtandao mmoja wa wanafunzi waliofika katika Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, wakati wa Maonyesho ya 13 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 Wanafunzi mbalimbali wakisoma taarifa muhimu kuhusu Chuo Kikuu Mzumbe.
Kujua taarifa kabla ya kujiunga na chuo ni muhimu.

 Kupata taarifa za kujiunga na chuo.
 Udahili ukiendelea.
 Wanafunzi wakituma maombi ya kujiunga na Chuo Kikuu Mzumbe.
 Mhadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe, Frank Kilima (kulia), akimuelekeza namna ya kufanya udahili kwa njia ya mtandao mmoja wa wanafunzi waliofika katika Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, wakati wa Maonyesho ya 13 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Kupata ufafanuzi wa kufanya udahili kwa njia ya mtandao.
Ofisa Tehama wa Chuo Kikuu Mzumbe, Joseph Kiphizi, akimuelekeza mmoja wa wanafunzi waliofika katika banda la Chuo Kikuu Mzumbe namna ya kufanya udahili kwa njia ya mtandao.
 Ofisa Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe, Fatna Mfalingundi, akitoa maelezo kwa mmoja wa wanafunzi waliofika katika Maonyesho ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya machapisho.

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe, Rainfrida Ngatunga, akiwapa maelezo baadhi ya wanafunzi kuhusu kozi zinazotolewa na Chuo Kikuu Mzumbe.

 Ofisa Udahili wa Chuo Kikuu Mzumbe, John Jorojick, akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi waliofika katika banda la Chuo Kikuu Mzumbe kuhusu namna ya kujiunga na chuo hicho.
Wanafuzi wakisubiri kufanya udahili kwa njia ya mtandao.
Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe, Rainfrida Ngatunga, akiwapa maelezo baadhi ya wanafunzi kuhusu kozi zinazotolewa na Chuo Kikuu Mzumbe.

No comments:

Post a Comment

Pages