Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

h

h

CRDB

CRDB
.

Pages

PAMBANO LA YANGA NA STAND UTD KATIKA PICHA

Wachezaji wa Yanga wakishangilia katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga Stand United 4-3.
Beki wa Yanga, Paulo Nyanganya (kulia), akiwania mpira na mbele ya mshambuliaji wa Stand United, Sixtus Sabilo wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 4-3.

No comments:

Post a Comment