HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 16, 2018

WAHITIMU CHUO KIKUU MZUMBE WAKUTANA

Spika wa Bunge mstaafu, Anne Makinda (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka (wa pili kushoto), Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro (kulia), Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Ludovick Utoh (wa pili kulia).

Kutoka kulia ni Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, Anne Makinda, ambaye ni mhitimu wa chuo hicho, Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Ludovick Utoh (wa tatu kulia) na Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro (wa kwanza kushoto).
Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanafunzi waliowahi kusoma na kuhitimu katika chuo hicho.

Baadhi uya washiriki.

Washiriki.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo.

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo.

Washiriki.

Mshiriki akijitambulisha.

Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Ludovick Utoh, akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wahitimu wa waliosoma chuoni hapo.

Mmoja wa wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumnbe ambaye pia ni Spika wa Bunge mstaafu, Anne Makinda, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano uliowakutanisha wahitimu wa waliowahi kusoma Chuo Kikuu Mzumbe.

Mmoja wa wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Francis Temba, akizungumzia mafanikio aliyoyapata baada ya kumaliza chuo hicho.

Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro, akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Baraza Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akimkabidhi cheti cha shukrani Spika wa Bunge mstaafu, Anne Makinda, wakati wa mkutano uliowakutanisha wahitimu waliowahi kusoma chuoni hapo. Kulia ni Makamu Mkuu wa chuo hicho, Prof. Lughano Kusiluka.

Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe,
Ludovick Utoh, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza chuo hicho, Prof. Mathew Luhanga.
Mwanafunzi Bora aliyefanya vizuri katika kufanya utafiti Chuo Kikuu Mzumbe, Flora Matiko, akipokea cheti kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Prof. Mathew Luhanga.
Fina Isac akipokea zawadi kutoka Mwenyekiti wa Baraza Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga.
Dk. Albogarst Msabila, akipokea cheti cha kutambua mchango wake kupitia miradi iliyoandaliwa na kupatia Chuo Rasilimali kwa ajili ya maeneo mbalimbali ya kitaaluma.

Dk. Emmanue Chao, akipokea cheti cha kutambua mchango wake kupitia Miradi iliyoandaliwa na kupatia Chuo Rasilimali kwa ajili ya maeneo mbalimbali mvali ya kitaaluma.

No comments:

Post a Comment

Pages