HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 14, 2018

I&M BANK YAFANYA TAMASHA LA MICHEZO DAR

Wafanyakazi wa Benki ya I&M wakishindana katika mchezo wa kuvuta kamba ikiwa ni mmoja  michezo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wafanyakazi hao walipojumuika pamoja na kufurahia michezo na burudani mbalimbali kama sehemu ya kujenga mahusiano bora kati ya wafanyakazi kwa lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji. (Picha zote na Francis Dande).
 Wafanyakazi wa Benki ya I&M wakishindana katika mchezo wa kukimbia wakiwa wamevaa magunia ikiwa ni mmoja  michezo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wafanyakazi hao walipojumuika pamoja na kufurahia michezo na burudani mbalimbali kama sehemu ya kujenga mahusiano bora kati ya wafanyakazi kwa lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji.
 Afisa wa Benki ya I&M, Elizabeth Lugusha akitembea huku akiwa amebeba yai kwenye kijiko ikiwa ni mmoja  michezo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wafanyakazi hao walipojumuika pamoja na kufurahia michezo na burudani mbalimbali kama sehemu ya kujenga mahusiano bora kati ya wafanyakazi kwa lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji.
Sehemu ya wafanyakazi wa wa Benki ya I&M Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mwishoni mwa wiki iliyopita. Wafanyakazi hao walijumuika pamoja na kufurahia michezo na burudani mbalimbali kama sehemu ya kujenga mahusiano bora kati ya wafanyakazi kwa lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji.
 

No comments:

Post a Comment

Pages