HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 14, 2018

MDAHALO WA KUMBIKIZI YA HAYATI MWALIMU NYERERE WAFANYIKA CHUO KIKUU MZUMBE

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula (kushoto), ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere akielekea katika ukumbi wa Samora uliopo Chuo Kikuu Mzumbe.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka, pamoja na mgeni rasmi Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula (wa pili kushoto), wakiwasili katika eneo la kufanyia Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere.
Meza Kuu.

Baadhi ya washiriki.

Wanajumuiya wa Chuo Kikuu Mzumbe wakifuatilia mada mbalimbali..

Baadhi ya washiri wakiwa katika mdahalo huo.
Profesa Honest Ngowi (mbele) akifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani).

Baadhi ya washiri wa mdahalo huo.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Lughano Kusiluka, akitoa hotuba yake katika Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Steven Kebwe, akizungumza katika mdahalo huo.

Baadhi ya wanajumuiya ya Chuo Kikuu Mzumbe wakifuatilia mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere.

Baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za sekondari mkoani Morogoro wakishiriki katika mdahalo huo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula (kushoto), akitoa hotuba yake katika mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere akielekea katika ukumbi wa Samora uliopo Chuo Kikuu Mzumbe mjini Morogoro.

Professa Raphael Chibunda akitoa mada kuhusu Mchango wa Elimu ya Juu katika Kuleta Maendeleo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe, Dk. Montanus Milanzi, akitoa mada kuhusu Mchango wa Elimu ya Juu katika kuleta Maendeleo wakati wa mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere uliofanyika Chuo Kikuu Mzumbe mjini Morogoro Nov 14, 2018.
Prof. Honest Ngowi akitoa mada katika mdahalo wa Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.
Dk. Ayoub Rioba akitoa mada juu ya Mtazamo wa Mwalimu Nyerere Kuhusu Mchango wa Elimu ya Juu katika Kukuza Tasnia ya Habari na Maendeleo ya Viwanda.
Professa wa Uchumi Chuo Kikuu Mzumbe, Aurelia Kamuzora, akichangia wakati wa mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere uliofanyika Chuo Kikuu Mzumbe mjini Morogoro Nov 14, 2018.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kilakala, Esther Assimwe, akichangia mada katika kongamano hilo.
Mhadhiri wa Shule ya Utawala na Menejimenti Dk. Saida Fundi, akichangia mada katika mdahalo wa Kumbukizi ya Hayati Mwalimu Nyerere uliofanyika Chuo Kikuu Mzumbe.


Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika mdahalo huo.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akichangia mada katika mdahalo huo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Phili Mangula (kushoto), akiteta jambo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka.
Mwenyekiti wa mdahalo Prof. Joseph Joseph Kuzilwa, akizungumza baada ya kupokea michango kutoka kwa washiriki.
Watoa mada wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.


Picha ya pamoja.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, akifurahi jambo na Meneja Mawasiliano na Uhusiano Chuo Kikuu Mzumbe, Sylvia Lupembe wenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga.
 
Mwenyekiti wa mdahalo Prof. Joseph Joseph Kuzilwa, akiagana na mgeni rasmi.

No comments:

Post a Comment

Pages